Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 15

70:15
كـَلَّآۖ إِنَّهَا لَظَىٰ ١٥
La, hasha! Kwa hakika huo ni Moto mkali kabisa,1
Footnotes
  • [1] Ewe mkosefu! Wacha hayo unayo yatamani ya kutaka kujikomboa kwa fidia! Hakika huo moto, unawaka kweli!