Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 18

70:18
وَجَمَعَ فَأَوۡعَىٰٓ ١٨
Na akakusanya mali, kisha akayahifadhi.1
Footnotes
  • [1] Na akakusanya mali akayaweka katika mabweta yake, wala hakutoa haki ya Mwenyezi Mungu iliomo katika hayo mali!