Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 3

70:3
مِّنَ ٱللَّهِ ذِي ٱلۡمَعَارِجِ ٣
Kutoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu za daraja.1
Footnotes
  • [1] Kwani hiyo inatoka kwa Mwenyezi Mungu Mwenye mbingu, ambako huko ndiko zinatoka nguvu zinazo simama, na hukumu inayo tekelezwa.