Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 5

70:5
فَٱصۡبِرۡ صَبۡرٗا جَمِيلًا ٥
Basi subiri kwa subira njema.Hakika wao wanaiona iko mbali!1
Footnotes
  • [1] Basi, ewe Muhammad! Subiri uwastahamilie hizo kejeli zao, na kuhimiza kwao adhabu, kwa subira isiyo kuwa na mbabaiko ndani yake wala mashtaka.