Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ma'arij — Ayah 7

70:7
وَنَرَىٰهُ قَرِيبٗا ٧
Na Sisi tunaiona iko karibu.1
Footnotes
  • [1] Na Sisi tunaona kuwa ni jambo jepesi katika uweza wetu, wala halina uzito wowote.