Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Nuh — Ayah 14

71:14
وَقَدۡ خَلَقَكُمۡ أَطۡوَارًا ١٤
Na hali Yeye kakuumbeni daraja baada ya daraja?1
Footnotes
  • [1] Na hali Yeye ndiye aliye kuumbeni kwa madaraja, tangu tone ya manii, kisha pande la damu, kisha pande la nyama, kisha mafupa na nyama?