Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Nuh — Ayah 22

71:22
وَمَكَرُواْ مَكۡرٗا كُبَّارٗا ٢٢
Na wakapanga vitimbi vikubwa.1
Footnotes
  • [1] Na vitimbi vya hao wenye mali mengi, na wana wengi, kwa wanyonge wanao wafuata ni vitimbi vilivyo fika ukomo kwa ukubwa.