Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Muzzammil — Ayah 12

73:12
إِنَّ لَدَيۡنَآ أَنكَالٗا وَجَحِيمٗا ١٢
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!1
Footnotes
  • [1] Huko Akhera tumewawekea wanao kadhibisha pingu nzito, na Moto wa kuunguza,