Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qiyamah — Ayah 26

75:26
كـَلَّآ إِذَا بَلَغَتِ ٱلتَّرَاقِيَ ٢٦
La, hasha! (Roho) itakapo fikia kwenye mafupa ya koo,1
Footnotes
  • [1] Mna nini na kuipenda dunia ambayo mnaifariki roho inapo fika katika mafupa ya kooni,