Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Qiyamah — Ayah 29

75:29
وَٱلۡتَفَّتِ ٱلسَّاقُ بِٱلسَّاقِ ٢٩
Na utapo ambatishwa muundi kwa muundi,1
Footnotes
  • [1] Na muundi wa mguu umekwisha ambatana na wa pili wakati wa kutoka roho.