Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Insan — Ayah 13

76:13
مُّتَّكِـِٔينَ فِيهَا عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِۖ لَا يَرَوۡنَ فِيهَا شَمۡسٗا وَلَا زَمۡهَرِيرٗا ١٣
Humo wataegemea juu ya viti vya enzi, hawataona humo jua kali wala baridi kali.1
Footnotes
  • [1] Wakiegemea huko Peponi juu ya makochi, hawaoni joto la jua, wala shida ya baridi.