Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Insan — Ayah 20

76:20
وَإِذَا رَأَيۡتَ ثَمَّ رَأَيۡتَ نَعِيمٗا وَمُلۡكٗا كَبِيرًا ٢٠
Na utakapo yaona, utakuwa umeona neema na ufalme mkubwa.1
Footnotes
  • [1] Na ukitazama popote katika hiyo Pepo utaona neema kubwa, na ufalme ulio tanda.