Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Insan — Ayah 26

76:26
وَمِنَ ٱلَّيۡلِ فَٱسۡجُدۡ لَهُۥ وَسَبِّحۡهُ لَيۡلٗا طَوِيلًا ٢٦
Na usiku msujudie Yeye, na umtakase usiku, wakati mrefu.1
Footnotes
  • [1] Na usiku sali magharibi na isha. Na fanya ibada za usiku kwa muda mrefu.