Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mursalat — Ayah 1

77:1
وَٱلۡمُرۡسَلَٰتِ عُرۡفٗا ١
Naapa kwa zinazo tumwa kwa upole!1
Footnotes
  • [1] Naapa kwa Aya zilizo tumwa kwa ulimi wa Jibrili kumpelekea Muhammad kwa upole wa kawaida na kheri,