Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mursalat — Ayah 49

77:49
وَيۡلٞ يَوۡمَئِذٖ لِّلۡمُكَذِّبِينَ ٤٩
Ole wao siku hiyo hao wanao kanusha!1
Footnotes
  • [1] Wataangamia siku wanao kadhibisha amri za Mwenyezi Mungu na makatazo yake.