Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mursalat — Ayah 7

77:7
إِنَّمَا تُوعَدُونَ لَوَٰقِعٞ ٧
Hakika mnayo ahidiwa bila ya shaka yatakuwa!1
Footnotes
  • [1] Hakika haya mliyo ahidiwa ya kuja Kiyama kwa yakini yatatimia tu bila ya shaka yoyote.