Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Naba — Ayah 11

78:11
وَجَعَلۡنَا ٱلنَّهَارَ مَعَاشٗا ١١
Na tukaufanya mchana ni wa kuchumia maisha?1
Footnotes
  • [1] Na tumeufanya mchana ni wakati wa kuhangaika kwenu kutafuta cha kukusaidieni katika maisha yenu.