Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Naba — Ayah 22

78:22
لِّلطَّٰغِينَ مَـَٔابٗا ٢٢
Kwa walio asi ndio makaazi yao,1
Footnotes
  • [1] Yawe ni marejeo na mafikio kwa wenye kupindukia mipaka ya Mwenyezi Mungu.