Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Naba — Ayah 25

78:25
إِلَّا حَمِيمٗا وَغَسَّاقٗا ٢٥
Ila maji yamoto sana na usaha,1
Footnotes
  • [1] Lakini watakunywa maji yalio pita ukomo kwa umoto wake, na usaha unao miminika kutokana na ngozi za watu wa Motoni.