Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Naba — Ayah 31

78:31
إِنَّ لِلۡمُتَّقِينَ مَفَازًا ٣١
Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu,1
Footnotes
  • [1] Hakika wenye kumcha Mola wao Mlezi watapata kuokoka na adhabu, na wataipata Pepo,