Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Naba — Ayah 36

78:36
جَزَآءٗ مِّن رَّبِّكَ عَطَآءً حِسَابٗا ٣٦
Malipo kutoka kwa Mola wako Mlezi, kipawa cha kutosha.1
Footnotes
  • [1] Ni malipo kutokana na Mola wako Mlezi, kwa fadhila yake na ihsani ya kutosha.