Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nazi'at — Ayah 17

79:17
ٱذۡهَبۡ إِلَىٰ فِرۡعَوۡنَ إِنَّهُۥ طَغَىٰ ١٧
Nenda kwa Firauni. Hakika yeye amezidi jeuri1
Footnotes
  • [1] Akaambiwa: Nenda kwa Firauni aliye pindukia mpaka katika udhalimu.