Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nazi'at — Ayah 39

79:39
فَإِنَّ ٱلۡجَحِيمَ هِيَ ٱلۡمَأۡوَىٰ ٣٩
Kwa hakika Jahannamu ndiyo makaazi yake!1
Footnotes
  • [1] Basi Moto wa Jahannamu unao babua upepo wake ndio makaazi yake wala hana mengineyo.