Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nazi'at — Ayah 45

79:45
إِنَّمَآ أَنتَ مُنذِرُ مَن يَخۡشَىٰهَا ٤٥
Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu.1
Footnotes
  • [1] Kwani waajibu wako ni kuwaonya wanao khofu si kuwatangazia wakati wake.