Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah An-Nazi'at — Ayah 7

79:7
تَتۡبَعُهَا ٱلرَّادِفَةُ ٧
Kifuate cha kufuatia.1
Footnotes
  • [1] Na mpulizo huo utafuatiwa na wa pili ambao ndio utakao kuwa wa kufufuliwa watu.