Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 2

80:2
أَن جَآءَهُ ٱلۡأَعۡمَىٰ ٢
Kwa sababu alimjia kipofu!1
Footnotes
  • [1] Kwa sababu kamjia kipofu anamuuliza khabari ya Dini yake.