Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 24

80:24
فَلۡيَنظُرِ ٱلۡإِنسَٰنُ إِلَىٰ طَعَامِهِۦٓ ٢٤
Hebu mtu na atazame chakula chake.1
Footnotes
  • [1] Hebu mtu na aangalie shani ya chakula chake - vipi tulivyo kipanga na kumsahilishia!