Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah 'Abasa — Ayah 32

80:32
مَّتَٰعٗا لَّكُمۡ وَلِأَنۡعَٰمِكُمۡ ٣٢
Kwa manufaa yenu na mifugo yenu.1
Footnotes
  • [1] Tumeotesha yote hayo kwa ajili ya faida yenu na wanyama wenu wa kufuga.