Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takwir — Ayah 16

81:16
ٱلۡجَوَارِ ٱلۡكُنَّسِ ١٦
Zinazo kwenda, kisha zikajificha,1
Footnotes
  • [1] Zenye kwenda na hujificha wakati wa kuchwa kwake, kama paa wanapo jificha kwenye mapango yao.