Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takwir — Ayah 15

81:15
فَلَآ أُقۡسِمُ بِٱلۡخُنَّسِ ١٥
Naapa kwa nyota zinapo rejea nyuma,1
Footnotes
  • [1] Naapa kiapo cha mkazo kwa nyota ambazo zinanywea zinapo chomoza, na hapo mwanga wake huwa khafifu,