Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takwir — Ayah 22

81:22
وَمَا صَاحِبُكُم بِمَجۡنُونٖ ٢٢
Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.1
Footnotes
  • [1] Na huyo Mtume wenu ambaye ni mwenzenu, mnaye mjua kuwa ana akili timamu, si mwendawazimu.