Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Takwir — Ayah 5

81:5
وَإِذَا ٱلۡوُحُوشُ حُشِرَتۡ ٥
Na wanyama wa mwituni wakakusanywa!1
Footnotes
  • [1] Na nyama mwitu wakusanywe kutoka vichakani mwao na mashimoni mwao, hawajijui hawajitambui kwa wingi wa kufazaika.