Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mutaffifin — Ayah 18

83:18
كـَلَّآ إِنَّ كِتَٰبَ ٱلۡأَبۡرَارِ لَفِي عِلِّيِّينَ ١٨
Hasha! Hakika maandiko ya watu wema bila ya shaka yamo katika I'liyyin.1
Footnotes
  • [1] Ni hakika kuwa vitendo vya watu wema bila ya shaka vimeandikwa katika I'liyyin.