Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Mutaffifin — Ayah 35

83:35
عَلَى ٱلۡأَرَآئِكِ يَنظُرُونَ ٣٥
Nao wako juu ya viti vya enzi wakiangalia.1
Footnotes
  • [1] Ilhali wako juu ya vitanda na matakia watakuwa Waumini wakiziangalia neema za Mwenyezi Mungu alizo wapa.