Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 2

84:2
وَأَذِنَتۡ لِرَبِّهَا وَحُقَّتۡ ٢
Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi, na ikapasiwa kumsikiliza!1
Footnotes
  • [1] Na ikamsikiliza Mola wake Mlezi na ikamt'ii, na ndio maelekeo yake isikie na kut'ii,