Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 20

84:20
فَمَا لَهُمۡ لَا يُؤۡمِنُونَ ٢٠
Basi wana nini hawaamini?1
Footnotes
  • [1] Wana nini hawa makafiri yanayo wazuia wasimuamini Mwenyezi Mungu na kufufuliwa baada ya kuwekwa wazi dalili zake zote za kuwajibika kwake?