Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 23

84:23
وَٱللَّهُ أَعۡلَمُ بِمَا يُوعُونَ ٢٣
Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria.1
Footnotes
  • [1] Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kujua kabisa hayo wanayo yadhamiria katika nyoyo zao.