Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Inshiqaq — Ayah 9

84:9
وَيَنقَلِبُ إِلَىٰٓ أَهۡلِهِۦ مَسۡرُورٗا ٩
Na arudi kwa ahali zake na furaha.1
Footnotes
  • [1] Na atarejea kwa jamaa zake Waumini naye furahani.