Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Buruj — Ayah 14

85:14
وَهُوَ ٱلۡغَفُورُ ٱلۡوَدُودُ ١٤
Naye ni Mwenye kusamehe, Mwenye mapenzi,1
Footnotes
  • [1] Na Yeye ni Mwingi wa msamaha kwa mwenye kutubu na akarejea, na Mwingi wa mapenzi kwa mwenye kumpenda na akamt'ii.