Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tariq — Ayah 2

86:2
وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا ٱلطَّارِقُ ٢
Na nini kitakacho kujuulisha ni nini hicho Kinacho kuja usiku?1
Footnotes
  • [1] Na kitu gani kitakujuvya ukweli wa nyota hii? Ni hiyo inayotoa mwanga wake katika giza.