Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah At-Tariq — Ayah 9

86:9
يَوۡمَ تُبۡلَى ٱلسَّرَآئِرُ ٩
Siku zitakapo dhihirishwa siri.1
Footnotes
  • [1] Siku dhamiri zitapo fanyiwa mtihani, na zitengwe mbali mbali baina ya ziliyo kuwa nzuri na ziliyo kuwa mbovu.