Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-A'la — Ayah 11

87:11
وَيَتَجَنَّبُهَا ٱلۡأَشۡقَى ١١
Na atajitenga mbali nayo mpotovu,1
Footnotes
  • [1] Na atajitenga na ukumbusho mpotovu anaye shikilia kufanya inda na ukafiri.