Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-A'la — Ayah 19

87:19
صُحُفِ إِبۡرَٰهِيمَ وَمُوسَىٰ ١٩
Vitabu vya Ibrahimu na Musa.1
Footnotes
  • [1] Vitabu vya Ibrahimu na Musa; kwani haya yamewafikiana na mafunzo ya dini zote na yamesajiliwa katika Vitabu vya mbinguni.