Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-A'la — Ayah 3

87:3
وَٱلَّذِي قَدَّرَ فَهَدَىٰ ٣
Na ambaye amekadiria na akaongoa,.1
Footnotes
  • [1] Na akakadiria kwa kila kitu kwa mujibu wa maslaha yake, na akakiongoza.