Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-A'la — Ayah 6

87:6
سَنُقۡرِئُكَ فَلَا تَنسَىٰٓ ٦
Tutakusomesha wala hutasahau!1
Footnotes
  • [1] Ewe Muhammad! Sisi tutakujaalia uwe ni mwenye kuisoma Qur'ani kwa ufunuo kutoka kwetu, na wala hutosahau utacho kihifadhi.