Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ghashiyah — Ayah 13

88:13
فِيهَا سُرُرٞ مَّرۡفُوعَةٞ ١٣
Humo vimo viti vilivyo nyanyuliwa,1
Footnotes
  • [1] Humo vitakuwamo viti vilivyo nyanyuliwa kwa cheo na kwa hakika, kama ni ziada ya neema.