Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ghashiyah — Ayah 25

88:25
إِنَّ إِلَيۡنَآ إِيَابَهُمۡ ٢٥
Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.1
Footnotes
  • [1] Hakika ni kwetu Sisi marejeo yao kwa kifo na kufufuliwa, wala hapana penginepo isipo kuwa kwetu.