Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Ghashiyah — Ayah 8

88:8
وُجُوهٞ يَوۡمَئِذٖ نَّاعِمَةٞ ٨
Siku hiyo nyuso nyengine zitakuwa kunjufu.1
Footnotes
  • [1] Na pia zitakuwapo nyuso zenye kutoa nuru Siku ya Kiyama, kwa malipo ya vitendo vyao walivyo fanya duniani.