Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Fajr — Ayah 10

89:10
وَفِرۡعَوۡنَ ذِي ٱلۡأَوۡتَادِ ١٠
Na Firauni mwenye vigingi?1
Footnotes
  • [1] Au kwani hukujua vipi Mola wako Mlezi alivyo wateremshia adhabu yake Firauni mwenye majeshi yaliyo upa nguvu ufalme wake kama vigingi vinavyo simamisha makhema?