Ali Muhsin Al-Barwani

Ayah by Ayah

Tags

Download Links

Ali Muhsin Al-Barwani translation for Surah Al-Fajr — Ayah 3

89:3
وَٱلشَّفۡعِ وَٱلۡوَتۡرِ ٣
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja!1
Footnotes
  • [1] Na shafi' yaani hisabu inayo gawika kwa mbili, kama 4, 6, 8 n.k. na witri, yaani isiyo gawika kwa mbili, kama 1, 3, 5 n.k. katika kila kitu.